top of page

Huduma

Ukandaji

Ukandaji wa tiba za viwango vya juu za kiaustria

Ukandaji wa urembo na detox

Ukandaji kwa kujisikia vizuri


Ukandaji wa nini?

Kila wakati ni wakati mzuri kwa ukandaji. Tafadhali chagua katika maofa yetu ya kitaalamu:


Ukandaji wa kujisikia vizuri na spa:

Huku utaacha maisha ya kila siku nyuma yako.

Hizo aina za Ukandaji zina nguvu ya kupumzisha mwili wako kabisa.

Nafsi yako itakuwa huru na unajiachia.

Kwa ajili ya kupunguza kusongwa akilini na kwa kujifanyia kitu kizuri


Ukandaji wa tiba

Kama unaumwa na ulemavu wowote, maumivu katika bega au kwenye shingo, badaya operesheni….

Badaya uchambuzi wa kitaalamu na mbinu ya ukandaji mahsusi utajisikia vizuri tena na mwili wako utafanya kazi kwa uhuru zaidi.

Kuna Maofa ya aina tofauti za ukandaji.

Maarifa yetu bora yapo kwa ajili yako.


Ukandaji wa urembo

Mikono ya mtaalamu kwa ajili ya urembo wako

Urembo wa kikweli unatokea kwa ndani ya mtu.

Kwa ukandaji maalum tunawasaidia kuboresha mzunguko wa damu katika kanda mbalimbali za Ngozi. Uchafu na vibaki vibaya vinamumunyika na kutolewa mwilini. Kwa vipodozi vyenye vitamini na madini mengi ngozi yako inapatiwa virutubisho muhimu. Kwa njia hii utakuwa na mwangaza mpya kama ua lililochanua.



Chagua kutoka kwa anuwai ya yetu

Ukandaji:

Ukandaji wa kawaida kwa kutibia maumivu ya mwili

• Maumivu ya mgongo ( syndrom ya kizazi, syndrom ya kifua kilichojisokota, maumivu katika mgongo wa chini)

• Bega (Bega lililoganda, impingement syndrom)

• Kichwa (Kipandauso, maumivu ya kichwa yaliyokaza)

• Misuli iliyojikaza


Lymphatic Drainage (Mifereji kutoa sumu katika vitoki)

• Sehemu ya mwili kuvimba badaya operesheni au ajali

• Lymphedema za kwanza badaya kutoa uvimbe au kitoki


Ukandaji ya segment

Kwa matatizo katika ogani (kifua, mafigo,..)

Kwa kujenga misuli na kuboresha mzunguko wa damu

Ukandaji wa Connective tissue (kuunganisha kanda za misuli)

Kutibu misuli iliyoganda pamoja na matatizo ya ogani


Ukandaji wenye Ujanja (Manipulative) kutoka kwa Dr Terrier

Kama umezuiliwa kwenda vizuri, athrosis au kutokuwa na usawa katika misuli

Myofascial release (kuachia fascia za msuli uliovimba)

Kama umezuiliwa kwenda vizuri au una maumivu


Matibabu ya reflex zones

For complaints all over the body

The treatment activates selfhealing powers and the troubles go away


Relaxation massage

For sleep disorders, in the case of mental stress

It increases physical well-being


Honey massage (forest honey, manuka honey)

In case of tension or muscle adhesions

Toxic substances are drwan out of the body tissue with the help of the honey

It has an invigoration effect and ensures a strong increase in blood circulation


Cupping massage

For chronic hardening in the back, shoulders and neck area

Treatment of cellulite


Heat packs (moor, mud)​

For back pain, shoulders- and neck pain,

metabolic diseases, arthrosis, rheumatism, arthritis


Therapy

Ultrasoundtherapy

Kwa nini matibabu ya Ultrasound?

Si misuli tu, lakini pia mifupa inafikishwa hapo kwa undani.

Wateja wanapendelea aina hii ya ukundaji wa vitu viduchu (micro) kwa matatizo kama maumivu katika viungo na kuvimba bursa na tendon (Membranes katika kiungo) na sheath (ganda la kiungo).

Kwa syndrome ya capal tunnel na mifupa iliyovunjika matibabu ya ultra sound inatumika kwa kupunguza maumivu.

Unatafuta kupona kwa undani Zaidi?

Ultrasound therapy ni msaada unaofaa kabisa.


Colon hydrotherapy

Matibabu ya Colonhydro (kusafisha njia za tumbo kwa maji) ya nini?

Afya inakaa katika utumbo.

Kama utumbo hauko katika usawa, yanajitokezea maumivu ya mwilini.

Hapo matibabu ya colon-hydro yanasaidia.

Kwa kusafisha kwa maji na ukandaji mtaratibu tumbo unasafishwa kwa ndani na uchafu wa zamani unaondolewa. 

Matatizo kama uchovu, vipele, maumivu ya kichwa, tumbo lililovimba au matatizo ya kupata choo yanapungua na matibabu haya.


Kanga

Compress za tiba za nini?

Ini ni injini ya nguvu kuhusiana na kusafisha mwili wetu kwa sumu.

Ogani hii inafanya kazi ngumu na inajua kuvumilia muda mrefu. 

Kwa bahati mbaya tunategemea ini letu kumudu mwili.

Halitauma kama linabeba mzigo mkubwa. 

Uchovu ni maumivu ya ini. 

Kwa njia hii linakuonyesha kwamba muda umefika kupasafisha.

Compress za ini inaboresha mzunguko wa damu na inasaidia kutoa sumu mwilini.

Kila compress ya ini ni likizo kwa hii ogani ya maajabu na itawashukuru sana.



Kinaestetics/ Msaada katika mazoezi ya viungo

Kufanya kazi kwa vitendo pamoja na kocha mwenye sifa nyingi

Maelekezo na msaada kwa nyumbani

Maelekezo kwa ndugu 

Kwa nini kinaesthetics (mazoezi ya mwili)?

Kama umezuiliwa kuhamisha viungo fulani kwa jinsi ilivyotakiwa, pia kwa Apoplex (Mshtuko wa moyo/Ubongo).

Kwa uchambuzi wa uwezo zako binafsi unasaidiwa na kocha wetu wnye maujuzi mengi anayeitwa Gundula kuongeza uwezo wako wa kunyosha mwili.

Unapatiwa uchambuzi yenye malengo, msaasa na maelekezo kwa maisha yako ya kila siku.

Ofa ya shule

Katika usindikaji


Ofa maalum kwako:

Huduma za usafiri kwenda na kurudi 


Mashauriano

Tunapenda kuwasaidia kwa mashauriano kwa kujipatia kujisikia vizuri tumboni. Fokasi yetu ipo katika ulishaji.

Bado kuna hatua dogo tu mpaka ujisikie vizuri tena:

Tafadhali tupigie simu kwa kupanga uteuzi

Tunapenda kukushauri vizuri na kukusaidia kuchagua matibabu yanayokufaa.

bottom of page