Huduma
Huduma
Ukandaji
Ukandaji wa tiba za viwango vya juu za kiaustria
Ukandaji wa urembo na detox
Ukandaji kwa kujisikia
Ukandaji wa nini?
Kila wakati ni mzuri kwa ukandaji. Tafadhali chagua katika maofa yetu ya kitaalamu:
Ukandaji wa kujisikia vizuri na spa:
Huku utaacha maisha ya kila siku nyuma yako.
Hizo aina za Ukandaji zina nguvu ya kupumzisha mwili wako kabisa.
Nafsi yako itakuwa huru na unajiachia.
Kwa ajili ya safari ya kusongwa akilini na kujifanyia kitu kizuri
Ukandaji wa tiba
Kama unaumwa na ulemavu wowote, maumivu katika bega au kwenye shingo, badaya operesheni….
Badaya uchambuzi wa kitaalamu na mbinu ya ukandaji mahsusi utajisikia vizuri tena na mwili wako utafanya kazi kwa uhuru zaidi.
Kuna Maofa ya aina tofauti za ukandaji.
Maarifa yetu bora yapo kwa ajili yako.
Ukandaji wa urembo
Mikono ya mtaalamu kwa ajili ya urembo wako
Urembo wa kweli unatokea kwa ndani ya mtu.
Kwa ukandaji maalum tunawaboresha kuboresha damu katika kanda mbalimbali za Ngozi. Uchafu na vibaki vibaya vinamumunyika na kutolewa mwilini. Kwa vipodozi vitamini na madini mengi ngozi yako inapatiwa muhimu muhimu. Kwa njia hii utakuwa na mwangaza mpya kama ua lililochanua.
Chagua kutoka kwa biashara yetu
Chagua kutoka kwa biashara yetu
Ukandaji:
Ukandaji wa kawaida kwa kutibia maumivu ya mwili
• Maumivu ya mgongo ( syndrom ya kizazi, syndrom ya kifua kilichojisokota, maumivu katika mgongo wa chini)
• Bega (Bega lililoganda, impingement syndrom)
• Kichwa (Kipandauso, maumivu ya kichwa yaliyokaza)
• Misuli iliyojikaza
Mifereji ya Lymphatic (Mifereji kutoa sumu katika vitoki)
• Sehemu ya mwingiliano baya operesheni au ajali
• Lymphedema za kwanza badaya kutoa uvimbe au kitoki
Ukandaji wa segment
Kwa matatizo katika ogani (kifua, mafigo,..)
Kwa kujenga misuli na kuboresha wa damu
Ukandaji wa Connective tissue (kuunganisha kanda za misuli)
Kutibu misuli iliyoganda pamoja na matatizo ya ogani
Ukandaji wenye Ujanja (Manipulative) kutoka kwa Dr Terrier
Kama umezuiliwa kwenda vizuri, athrosis au kutokuwa na usawa katika misuli
Myofascial release (kuachia fascia za msuli uliovimba)
Kama umezuiliwa kwenda vizuri au una maumivu
Matibabu ya maeneo ya reflex
Kwa malalamiko mwili mzima
Matibabu huamsha nguvu za kujiponya na shida huondoka
Massage ya kupumzika
Kwa matatizo ya usingizi, katika kesi ya matatizo ya akili
Inaongeza ustawi wa kimwili
Massage ya asali (asali ya msitu, asali ya manuka)
Katika kesi ya mvutano au mshikamano wa misuli
Dutu zenye sumu hutolewa nje ya tishu za mwili kwa msaada wa asali
Ina athari ya kuimarisha na inahakikisha ongezeko kubwa la mzunguko wa damu
Kupiga massage
Kwa ugumu wa muda mrefu katika eneo la nyuma, mabega na shingo
Matibabu ya cellulite
Vifurushi vya joto (moor, matope)​
Kwa maumivu ya mgongo, mabega- na maumivu ya shingo,
magonjwa ya kimetaboliki, arthrosis, rheumatism, arthritis
Tiba
Tiba
Tiba ya Ultrasound
Kwa nini matibabu ya Ultrasound?
Si misuli tu, lakini pia mifupa inafikishwa hapo kwa undani.
Wateja wanapendelea aina hii ya ukundaji wa vitu viduchu (micro) kwa matatizo kama maumivu katika viungo na kiungo bursa na tendon (Membranes katika kiungo) na sheath (ganda la kiungo).
Kwa syndrome ya capal tunnel na mifupa iliyovunjika matibabu ya ultra sound inatumika kwa maumivu.
Unatafuta kupona kwa undani Zaidi?
Ultrasound therapy ni msaada kabisa.
Tiba ya maji ya koloni
Matibabu ya Colonhydro (kusafisha njia za tumbo kwa maji) ya nini?
Afya inakaa katika usalama.
Kama ujumbe hauko katika usawa, yanajitokeza maumivu ya mwili.
Hapo matibabu ya colon-hydro yanasaidia.
Kwa kusafisha maji na ukandaji mtaratibu tumbo unasafishwa kwa ndani na uchafu wa zamani unaondolewa.
Matatizo kama uchovu, vipele, maumivu ya kichwa, tumbo lililovimba au matatizo ya kupata choo yanapungua na matibabu haya.
Kanga
Compress za tiba za nini?
Ini ni injini ya nguvu na kusafisha mwili wetu kwa sumu.
Ogani hii masomo kazi ngumu na inajua kuvumilia muda mrefu.
Kwa bahati mbaya tunategemea ini letu kumudu mwili.
Halitauma kama linabeba mzigo mkubwa.
Uchovu ni maumivu ya ini.
Kwa njia hii linakuonyesha kwamba muda umefika kupasafisha.
Compress za ini kuboresha wa damu na kutoa sumu mwilini.
Kila compress ya ini ni likizo kwa hii ogani ya maajabu na itawashukuru sana.
Kinaestetics/ Msaada katika mazoezi ya viungo
Kufanya kazi kwa vitendo pamoja na kocha mwenye sifa nyingi
Maelekezo na msaada kwa nyumbani
Maelekezo kwa ndugu
Kwa nini kinaesthetics (mazoezi ya mwili)?
Kama umezuiliwa viungo fulani kwa jinsi ilivyotakiwa, pia kwa Apoplex (Mshtuko wa moyo/Ubongo).
Kwa uchambuzi wa uwezo wako binafsi unasaidiwa na kocha wetu wnye maujuzi mengi anayeitwa Gundula kuongeza uwezo wako wa kunyosha mwili.
Unapatiwa uchambuzi wenye malengo, msaasa na maelekezo kwa maisha yako ya kila siku.
Ofa ya shule
Ofa ya shule
Katika mapato
Ofa maalum kwako:
Huduma za usafiri kwenda na kurudi
Mashauriano
Tunapenda kwa mashauriano kwa kujipatia kujisikia vizuri tumboni. Fokasi yetu ipo katika ulishaji.
Bado kuna hatua ndogo tu mpaka usikie vizuri tena:
Tafadhali tupigie simu kwa uteuzi
Tunapenda kukushauri vizuri na kuchagua matibabu yanayokufaa.